March 14, 2017

OXFORD YAZINDUA KAMUSI YA KISWAHILI

Meneja wa Oxford nchini Tanzania, Fatma Shangazi akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuzindua kamusi ya Kiswahili itakayopatokana mtandaoni bila malipo katika kuadhimisha miaka 50 tangu kuanza kwa kazi zake za uchapishaji hapa nchini leo katika ofisi za Oxford jijini Dar leo.
Mkutano ukiendelea
Meneja wa Oxford nchini Tanzania, Fatma Shangazi akiwaonesha jinsi ya kutumia kamusi ya Kiswahili itakayopatokana mtandaoni mara baada ya kufanya uzinduzi huo kwenye ofisi za Oxford jijini Dar leo.
Meneja wa Oxford nchini Tanzania, Fatma Shangazi pamoja na Betty Paul kutoka Oxford nchini Tanzania wakionesha kamusi za Oxford zitakazokuwa zinapatikana kwenye tovuti iliyozinduliwa leo.
Mchunguzi na mhadhiri wa Kiswahili kutoka Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI), Musa Mohamed Shembilu akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Oxford Tanzania kuzindua kamusi ya Kiswahili itakayopatokana mtandaoni bila malipo katika kuadhimisha miaka 50 tangu kuanza kwa kazi zake za uchapishaji hapa nchini.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE