March 14, 2017

NAPE AWATAKA MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI KUTENDEA HAKI SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI NA SHERIA YA HAKI YA KUPATA TAARIFA.


OLI 2
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi.Elizabeth Kitundu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.
OLI 3
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi.Nuru Milao akiongea kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye kufungua rasmi  Kikao kazi  cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma tarehe 14 Machi 2017.
OLI 4
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akizungumza na Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati akifungua kikao kazi  cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.
OLI 5
Mwenyekiti  wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) akichangia jambo wakati wa Kikao kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.
OLI 6
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa Kikao kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.Kulia  kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi.Nuru Milao,Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi.Elizabeth Kitundu,Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassana Abbas na Mwenyekiti  wa TAGCO Bw.Innocent Mungy.OLI 1
Maafisa Mawasiliano wa Serikali kutoka Wizara,Taasisi ,Halmashauri,Wakala na Mashirika ya Umma,Tamisemi na Idara zinazojitegemea wakimskiliza kwa makini Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye(hayupo Pichani)  wakati akifungua Kikao kazi  cha 12 cha Maafisa hao kinachofanyika Mkoani Dodoma.
OLI 7
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Mawasiliano kutoka Idara ya Habari-MAELEZO wakati wa kikao cha 12 cha Maafisa hao wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma. Kulia  kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi.Nuru Milao,Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi.Elizabeth Kitundu,Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassana Abbas na Mwenyekiti  wa TAGCO Bw.Innocent Mungy.
OLI
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt Hassan Abbas akichangia jambo wakati  wa kikao cha 12 cha Maafisa Mawasiliano  wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE