March 23, 2017

MWANAFUNZI MLEMAVU ANAYEANDIKIA MIGUU AMGUSA RC IRINGA

Mwanafunzi  Beatrice Mweni  anayesoma  darasa la kwanza  shule ya Msingi  Ipogolo katika Manispaa ya  Iringa  akiandika kwa  kutumia  mguu  wake wa kulia  baada ya kuwa na ulemavu  wa kupooza  mikono
Hapa  akiandika kwa  mguu kwa  kushoto
Hapa  akitumia  mguu wa kulia  kuandika
Mkuu wa  mkoa wa Iringa  Amina Masenza  akimtazama mwanafunzi  Beatrice Mweni  wa darasa la kwanza shule ya Msingi Ipogolo mjini Iringa  akiandika kwa  kutumia  mguu  wake  ,mwanafunzi huyo anafanya  vizuri darasani  kuliko  wasio na ulemavu hadi  sasa anajua kusoma ,kuandika na kuhesabu (KKK)
Mkuu wa  mkoa wa Iringa Amina Masenza  akikagua daftari la mwanafunzi Beatrice Mweni mwenye  mahitaji maalum
Mwanafunzi  Mweni  akimsikiliza mkuu wa mkoa wa Iringa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza  akikagua maendeleo ya  mwanafunzi anayeandikia miguu Beatrice  Mweni  wa  shule ya Msingi  Ipogolo mjini Iringa ,mwanafunzi huyo  hulazimika  kushuka chini ya dawati  ili  kuweza  kuandika kwa miguu
Mkuu  wa  mkoa wa Iringa Amina Masenza akikagua maendeleo ya  wanafunzi
Hapa  mwanafunzi huyo  akiwa amesimama na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza ,mwanafunzi  huyo anauwezo wa  kutembea  kwa  shida  pekee yake  anapotaka  kuandika ama kula chakula anatumia miguu yake 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE