March 29, 2017

MWAKALEBELA ATHIBITISHA KUSHINDWA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI

Frederick Mwakalebela ambae alikuwa ni mmoja kati ya makada wa CCM waliochukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika bunge la Afrika Mashariki ameujuza mtandao huu wa matukiodaima kuwa kura hazijatosha kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye bunge la Afrika baada ya kupata kura sita. 

Japo ameahidi kuendelea kukitumikia chama kwa moyo na kuwa kila safari anamtanguliza Mungu. 

Mwaka 2015 Mwakalebela alikuwa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kabla wana CCM wasio waaminifu kukisaliti chama na kukipigania chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema)hivyo kupelekea Mwakalebela kushindwa. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE