March 26, 2017

MSANII NEY WA MITEGO AKAMATWA NA POLISI

msanii Ney wa Mitego amedai kukamatwa

na Polisi baada ya kumaliza show yake mkoani Morogoro msanii huyo ameandika katika kurasa za mitandao ya kijamii kuwa amekamatwa na amepelekwa kituo cha polisi Mvomero bila kueleza chanzo cha kukamatwa kwake

Jana katika mitandao ya kijamii msanii huyo alirusha wimbo wake ambao mahudhui yake yalikuwa ni kulaani tukio la kukamatwa kwa Nappe Nnauye ila maneno makali zaidi yalitumika japo hatuna uhakika kama kosa ndilo ilo ama lah jitihada za kumtafuta kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro zinafanyika ili kujua chanzo cha kukamatwa wake endelea kutembelea mtandao huu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE