March 23, 2017

MKUU WA MKOA WA IRINGA AFURAHISHWA NA KIWANGO CHA UELEWA WA WANAFUNZI DARASA LA KWANZA MANISPAA YA IRINGA

Mkuu  wa  mkoa  wa  Iringa  Amina Masenza  akiwa  darasani  kufuatilia uelewa wa wanafunzi wa darasa la kwanza katika kujua  kusoma ,kuandika na kuhesabu (KKK) leo  wakati wa  ziara  yake kwenye Manispaaa ya Iringa
Afisa  elimu  msingi  katika Mkoa  wa Iringa  Edina Bymerwa   akisahisha kazi za  wanafunzi wa  darasa la kwanza  shule ya Msingi Mlandege  wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa wa Iringa  ,shule  nyingi  za Manispaa ya  Iringa  wanafunzi wa darasa la kwanza  wamekuw  wakikaa kwa  kutazamana kutokana na ufinyu wa   vyumba
Mkuu  wa  mkoa wa Iringa Amina Masenza  akiwafundisha  wanafunzi wa  shule ya Msingi Mlandege alipofanya  ziara ya  ukaguzi  kwa  wanafunzi wa darasa la kwanza  kuona kama  wanajua kusoma,kuhesabu na kuandika (KKK)
Wanafunzi  wa  shule ya Msingi Mlandege wakimsikiliza  mkuu wa  mkoa wa Iringa  Amina Masenza  wakati  akiwafundisha  hesabu
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa  Amina Masenza  akiwasahishia wanafunzi  wa  darasa la kwanza  shule ya Msingi Mlandege  mjini  Iringa baada ya  kufanya  ziara  yake
Mwanafunzi  wa shule ya  Msingi Mlandege  akimtazama kwa makini mkuu wa mkoa wa Iringa  Amina Masenza  wakati  akimsahishia kazi yake
Rc  Iringa  akisahisha  kazi za  wanafunzi 
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa  Amina Masenza  akiwa kikao na  walimu wa  shule ya msingi Mlandege
Rc  Iringa Amina Masenza akizungumza na  walimu  wa  shule ya  msingi Mlandege leo
Walimu  wa shule ya Msingi Mlandege  wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Iringa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE