March 10, 2017

MKUTANO MKUU WA MAJUMUISHO YA WADAU WA SAGCOT UKIENDELEA UKUMBI WA LAPF LEO

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza wa tatu kulia akiwasilisha taarifa ya mkoa kuhusu fursa za kilimo na uwekezaji

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza wa kwanza kulia akiwa na washiriki wengine wa mkutano huo

Mkutano mkuu wa mwaka wa wadau wa SAGCOT ukiendelea katika ukumbi wa LAPF Dar


Mkuu wa kilolo Asia Abdalah akiwa Katina warsha hiyo
mwenyekiti wa halmashauri ya Iringa na makamu mwenyekiti wa  ALAT taifa Stephano Mhapa wa pili kulia akiwa katika mkutano wa SAGCOT 
katibu wa RC Iringa Bahath Glyoma mwenye suti akiwa katika mkutano huo

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE