March 1, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA RC IRINGA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA IRINGA

Mkuu  wa mkoa  wa Iringa  Amina Masenza wa tatu  kushoto  akiwa na viongozi  mbali mbali  wa Manispaa ya  Iringa  kukagua  daraja la Hoho katika Manispaa ya  Iringa ,kushoto  kwake ni mkuu wa  wilaya ya  Iringa Richard Kasesela
Mtaalam  kutoka  ofisi ya  mkoa  Bi Hilda akiweka  taarifa  sawa
RC  Iringa  Amina Masenza na  mkuu wa wilaya ya  Iringa Richard Kasesela  wakitazama  daraja  ambalo limeanza kuweka nyufa 
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza  akisalimiana na wananchi  wa Ruaha  ambao wamejenga  juu ya  milima 
Baadhi ya  nyumba  zilizojengwa  milimani
Kikao  cha majumuisho

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE