March 18, 2017

MATOKEO TLS YAONYESHA KUMPA USHINDI MNONO MWANASHERIA TUNDU LISUTaarifa za awali kutoka mkoani Arusha ambazo mtandao huu wa matukio daimablog umezipata japo si rasimi zinasema kuwa mwanasheria mkuu wa Chadema mbunge Tundu Lissu ashinda urais wa chamá cha wanasheria nchini (TLS) kwa 84%.

Makamu rais ni Wakili msomi  Godwin  Gwilimi.

Lissu 1411 out of 1682

 Mandari 176

 Stolla 64

 Mwapongo 64

Mfilinge.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE