March 19, 2017

KUBENEA NA SUMAYE WAULA CHADEMA

Kubenea mbunge wa Ubungo 
Waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye aliyehamia Chadema amefanikiwa ndoto yake ya kutaka uongozi chadema baada ya kushinda nafasi yauenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

Sumaye amemshinda leo mpinzani wake Kidera aliyepata kura 15 sawa na asilimia 17,huku Sumaye akipata kura za kishindo 74 sawa  na Apolónia 83.

Wakati nafasi ya umakamu mwenyekiti ikichukuliwa na mbunge wa Ubungo Said kubenea aliyepata kura 60 sawa na asilimia 60.67 na kumzidi mpinzani wake Hasan aliyepata kura 18

Wengine waliogombea nafasi mbali mbali ni pamoja na nafasi ya
*M/Hazina*
Kasilima : 19= 21%
Ruth (MB) : 50 =56%
Lucy (MB) : 20 =22%
Idadi ya wapiga Kura: 112
Kura zilizopigwa : 89

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE