March 26, 2017

CCM WAPITISHA FAGIO LA CHUMA KWA MAKATIBU WA MIKOA NA WILAYA, WALIOSHINDWA KUWABANA WASALITI NAO WATUMBULIWA

Uteuzi wa Makatibu wa CCM Mikoa...
1 Arusha - Elias Mpanda2 Dar - Saad Kusilawe3 Dodoma - Jamila Yusuf4 Geita - Adam Ngalawa5 Iringa - Christopher Magala6. Kagera- Rahel Degeleke7. Katavi- Kajoro Vyahoroka8. Kigoma- Naomi Kapambala9. Kilimanjaro- Jonathan Mabihya10. Lindi-Mwanamasoud Pazi11. Manyara -Paza Mwamlima12. Mara -Innocent Nanzabar13. Mbeya -Wilson Nkhambaku14. Morogoro- Kulwa Milonge15. Mtwara -Zacharia Mwansasu16. Mwanza- Raymond Mwangala17. Njombe- Hossea Mpagike18. Pwani- Anastanzia Amasi19. Rukwa- Loth Ole Nesere20. Ruvuma- Amina Imbo21. Shinyanga -Haula Kachambwa22. Simiyu- Donald Etamya23. Singida- Jimson Mhagama24. Tabora- Janeth Kayanda25. Tanga- Allan Kingazi.
"Makatibu wengi tuliowateua ni wapya, hatuwezi kufanya mageuzi ya kuwa na CCM mpya na upya huo usionekane. Mageuzi ni fikra...
'Kuhusu suala la Mkuu mkoa mkoa wa DSM, kwanza napenda kusema kuwa uhusiano wa CCM na vyombo vya habari ni wa kihistoria'...
CCM inapenda kufuata utaratibu na ndio salama yetu kama yupo kiongozi wa chama amefanya jambo tuna utaratibu mzuri wa kuchunguza'..
'Mkuu wa mkoa ni mteule wa Rais na anapomteua anamteua yeye peke yake na halazimiki kushauriana na mtu'..
"  Humphrey PolepoleKatibu wa CCM itikadi na Uenezi -Taifa26.3.2016

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE