March 11, 2017

BRAKING NEWS WASALITI CCM WAFUKUZWA YUPO JESCA MSAMBATAVANGU NA SOPHIA SIMBA

 Jesca Msambatavanga ni mmoja kati ya makada wa CCM waliosimamishwa baada ya kuthibitika kukisaliti chama wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2015

Wengine waliofukuzwa ni pamoja na Mbunge Sophia Simba 

Walio fukuzwa Uanachama wa CCM Kuanzia leo
1. Sophia Simba
2. Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na 
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga 
Chanzo:mwandishi wa uhuru selina

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE