March 9, 2017

TEKNOLOJIA YA KISASA YAACHA KILIO KWA WAFANYAKAZI MASHAMBA YA CHAI MUFINDI .....

Wafanyakazi wa  shamba la  chai Uniliver Ngwazi wilaya ya  Mufindi   wakichuma  chai kwa  kutumia mashine ,teknolojia  hiyo  imepelekea  wafanyakazi  wengi zaidi  kupunguzwa na shamba ambalo lilikuwa  likichumwa chai na  watu zaidi ya 50  hivi sasa kazi hiyo inafanywa na  watu  watatu pekee
Mfanyakazi wa  shamba la  chai  Uniliver Ngwazi Mufindi mkoani Iringa Janeth Kigomba  akichambua  chai inayochumwa kwa mashine

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE