February 20, 2017

WANAFUNZI WAWILI WAFA MAJI IRINGA , MBUNGE KABATI NA DC KASESELA WASHIRIKI UOKOAJI

Mkuu  wa  wilaya ya Iringa  Richard  Kasesela  na  mbunge  wa  viti maalum  mkoa wa Iringa Ritta Kabati  wakishirikiana na  wananchi wa Iskalilo kutafuta  miili  ya wanafunzi  wawili  wa  shule ya msingi Mapinduzi  waliokufa maji  jumamosi  wakati  wakiogelea  
Wazamiaji  wakitafuta  miili ya watoto  wawili   waliozama maji
Wananchi  wakishiriki  kuvuta  miti  iliyokuwa  kwenye maji  mto  Ruaha kutafuta  miili ya  watoto  hao
Gari  la  kikosi  cha jeshi la zimamoto na uokoaji  likiwa  eneo la  tukio  kusaidia
Wazamiaji  wakitafuta  miili ya  watoto  hao
Dc  Kasesela  akiwapa ushauri  waokoaji  hao

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE