February 23, 2017

WANAFUNZI WALIOSOMA SHULE YA SEKONDARI ILULA WILAYA YA KILOLO WACHANGIA UKARABATI WA SHULE

Wawakilishi wa  wanafunzi  waliosoma  shule ya  sekondari  Ilula  katika  wilaya ya  Kilolo  mkoani  Iringa Mwalimu  Nguvu  Chengula  kushoto na mchungaji  Yekonia Koko  wakimkabidhi  fedha  kiasi cha  Tsh  milioni 1.3 mkuu wa  shule ya  sekondari  Ilula mwalimu  Vincent  Shauri (katikati)  kulia ni makamu  mkuu wa  shule  hiyo  Joachim Mlay
Mkuu  wa  shule ya  Sekondari  Ilula  katikati  akiwaonyesha  choo  cha  kisasa  kinachojengwa  shuleni hapo kwa  ajili ya matumizi ya  walimu
Mkuu  wa  shule ya  Sekondari  Ilula  Vicent Shauri  kulia  akionyesha  choo  hicho
Hiki  ndicho  choo cha  walimu  kinachojengwa  shule ya  sekondari  Ilula
Aibu   hizi  ndizo  nguzo  za  umeme  zinazoelekea  bwenini  kweli  serikali  Kilolo  kuna haja ya  kulitazama  hili  kabla ya  kuleta  majanga
Mkuu  wa shule ya  sekondari  Ilula akionyesha  nguzo za  umeme
Bweni  lililoezuliwa na kimbunga  likiwa bado  kuezekwa
Habari  kamili  na VIDEO itakujia  hivi  punde

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE