February 7, 2017

UJENZI HUU HOLELA JUU YA MILIMA SERIKALI MANISPAA YA IRINGA IPO LIKIZO? NYUMBA ZAENDELEA KUPANDA MILIMA

kasi  ya ujenzi  Holela  wa nyumba yaendelea  kuchukua sura mpya katika Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa baada ya  wananchi  kuendelea kujenga nyumba  juu ya milima  hali ambayo ni hatari kwa usalama  wao na tayari  ofisi ya  waziri mkuu kupitia  waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda alitoa angalizo  pia  waziri wa ardhi  nyumba na maendeleo ya makazi Wiliam Lukuvi alionya ujenzi huu ila ndio kwanza hakuna anayechukua hatua kama unavyoona nyumba hizi  zikiendelea  kupanda  milima japo  tayari  mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela ameanza  kuchukua hatua kwa baadhi ya maeneo ila bado watendaji wa mitaa ushirikiano  wao ni mdogo  zaidi

1 comments:

Anonymous said...

Hujawahi kufika mwanza?

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE