February 20, 2017

TAZAMA PICHA ZOTE RC IRINGA AMINA MASENZA ALIVYOIPOKEA TIMU YA LIPULI FC KWA SHANGWE KUBWA

Mkuu  wa  mkoa wa  Iringa  Amina Masenza akikabidhi  fedha kwa   kepteni wa Lipuli  FC
Viongozi  wa Lipuli  Fc na mkuu wa wilaya  ya Iriga  Richard Kasesela kulia  wakiingia katika  viwanja vya  mkuu wa mkoa  wa Iringa
Mkuu wa  mkoa  wa  Iringa  Amina Masenza akiwapokea  wachezaji wa Lipuli Fc
DC  kilolo  Asia  akipiga  picha na mchezaji nguli wa Lipuli  Fc Machaku

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE