February 17, 2017

TAZAMA PICHA ZA MAZISHI YA EMMELIANA MAHUVI NYALUKE

waombolezaji  wakiwa   katika mazishi ya  mke  wa mfanyabiashara mkongwe  kijiji  cha  Kibao wilaya ya  Mufindi  mkoani Iringa marehemu  Emmelian Mahuvi  Nyaluke yaliyofanyika  leo   makaburi ya  Kijiji  cha  Kibao
mpiga picha maarufu  na mtaalam  wa  kusafisha  picha  Bw Kisweswe akitoa  heshima  za  mwisho
George  Sanga  akitoa  heshima  za  Mwisho
Baadhi ya  majirani  toka mjini Iringa  wakitoa  heshima  za  mwisho
Mwenyekiti  mstaafu wa  kijiji  cha  Kibao  mzee  Ngelime  akitoa  heshima za  mwisho
Mtoto  wa marehemu  Fikili Nyaluke  akiwa na motto  wake wakiwa  katika  huzuni
Ndugu  wakitoa  heshima za mwisho
Bw Lwila  akitoa  maelekezo  kwa waombolezaji  waliokuwa wakiaga  mwili wa  mama mkwe  wake
Familia  inatoa  shukuruni  nyingi  kwa  wananchi  wote wa  Kijiji  cha Kibao , Tunduma , Iringa , Dar es Salaam  na madaktari  wa Hospitali  za Bulongwa  Makete  ,Iringa na hospitali  nyingine ambazo  zilishiriki  kumtibu  mama  yao  mpendwa  ambaye  walimpenda  sana  ila  Mungu kampenda  zaidi yetu  hivyo  hatuna  budi  kusema jila  lake na lihimidiwe  na apumzike kwa amani

AMEN

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE