February 10, 2017

RC IRINGA MWALIMU AMINA MASENZA AFUNGA MAFUNZO YA NAMAINGO UKUMBI WA KICHANGANI LEO

Mkuu  wa  mkoa  wa  Iringa Mwalimu  Amina Masenza akipokelewa  jioni hii katika ukumbi wa Kichangani  wakati wa kufunga warsha  ya wajasiliamali wanachama  wadau wa Namaingo ,warsha  inayohamasisha  ufugaji  wa  Sungura
Wanawarsha  wakiwa katika  warsha  hiyo
Mafunzo  yakiendelea  katika  ukumbi wa Kichangani
Mratibu wa Namaingo mkoa  wa Iringa  Said Ng'amilo  akiwa na viongozi mbali mbali

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE