February 10, 2017

RC IRINGA ASEMA WAKATI WA WANAIRINGA KUJINYANYAPAA UMEPITA

Mkuu  wa mkoa  wa  Iringa  Amina Masenza  akikabidhiwa  fomu ya  kujiunga na Taasisi ya Namaingo inayojishughulisha na ufugaji wa  Sungura leoSERIKALI  mkoa  wa  Iringa  imepongeza  taasisi  isiyo ya  kiserikali ya Namaingo  kwa  kuendelea  kutoa  elimu ya ujasiliamali kwa  wananchi na kuwa  kutokana na jitihada  mbalimbali za  serikali wana Iringa  hawana nafasi ya  kuendelea  kujinyanyapaa kwani  fursa  zipo  nyingi.

Akizungumza  leo  wakati wa kufunga  warsha  ya Namaingo  leo  kwenye ukumbi wa  Kichangani  pamoja na kushukuru  jitihada za  taasisi  hiyo kwa  jitihada  mbali mbali inmazozifanya .

Mkuu  huyo  alisema elimu  hiyo inapaswa  kutolewa katika  vikao  vya baraza la madiwani na hata  vikao  vya ushauri  vya mkoa (RCC)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE