February 24, 2017

PICHA ZA WEMA NA WAFUASI WAKE WALIOTANGAZA KUHAMIA CHADEMA LEO

Wafuasi wa Mnyange aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambao mitandaoni wanajiita “Team Wema” wameamua kujiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kuonesha kumuunga mkono mwanadada huyo.
Tukio mubasahara linaendelea muda huu nyumbani kwa  Wema Sepetu ambaye muda wowote akuanzia sasa ataongea na vyombo vya Habari kueleza kila kitu juu ya kujiunga kwake na chama hicho na mambo mengine yanayomkabili.

Vijana wa Team Wema waliojiunga na Chadema wakiwa katika pozi tofauti

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE