February 27, 2017

PAPA FRANCIS KUTEMBELEA SUDANI KUSINI


    Italy                                     Papa Francis                

Papa Francis amesema kuwa anatarajia kufanya ziara Sudani ya Kusini pamoja na askofu mkuu wa Canterbury, Justin Welby.

Papa ameeleza kuwa ziara yake itakua ya siku moja tu kutokana na kuwepo kwa usalama mdogo.


Papa aliongeza kuwa maaskofu wa sudan Kusini wamekua wakimtaka afanye ziara nchini humo ili ashuhudie athari ya njaa na vita kwa watu wa sudani kusini.(Chanzo BBC)


Aliyasema hayo alipotembelea kanisa la waanglikana jijini Rome Italia.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE