February 6, 2017

PANAMA GIRLS YAONGOZA 8- 1 DHIDI YA MAJENGO QUENS YA SINGIDA KIPINDI CHA PILI

Timu ya panama Girls FC ya Iringa imeendelea kujihakikishia kuendelea na ligi kuu ya wanawake baada ya kuichapa magoli 8- 1 timu ya Majengo Quens ya Singida mchezo unaoendelea uwanja wa samora
Hadi  sasa ni dakika ya 30 kipindi cha Pili timu ya panama inazidi kuonyesha Soka safi kuliko wapinzani wao Majengo Quens FC ya Singida


Goli la saba ni la mkwaju wa penati huku goli la 8 limefungwa baada ya Majengo  kucheza nusu kufuatia mchezaji wake mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE