February 6, 2017

PANAMA GIRLS 3 YAONGOZA 3- 1 DHIDI YA MAJENGO QUEN YA SINGIDA KIPINDI CHA KWANZA

Timu ya Panama Girls FC ya Iringa imejipatia goli la 3 dakika 26 kipindi cha kwanza dhidi ya Majengo Quens ya mkoani Singida huku Singida ikiwa na goli 1 pekee

Mchezo unaoendelea uwanja wa samora huku kukiwa na changamoto ya kimvua uwanjani

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE