February 16, 2017

MWAMOTO ASEMA SHAUKU YAKE KILOLO KUWA NA BENKI YA WANANCHI

Mbunge  wa  Kilolo  Venance  Mwamoto ( wa  pili kulia mbele)  akiwa ameshikana mikono  na viongozi  wa  Vikundi  vya  kiuchumi na Sacoss ya  Mazombe Ilula pamoja na viongozi  wa SIDO  mkoa  wa  Iringa  waliofika  Ilula  kuhamasisha  vikundi  vya kifedha  kuiunga na Saccos ya  Mazombe  ili  kuwezeshwa   wa  pili  kulia  mstari  wa  nyuma ni meneja  wa  Sido mkoa wa Iringa  Macdonald  Maganga  na wa tatu  kulia kwake ni afisa  mikopo Sido  mkoa  wa Iringa Neserian Laizer
Mbunge  wa  Kilolo Venance Mwamoto  akihamasisha  wananchi  Kilolo  kuanzisha  benki ya wananchi Habari kamili utaipata  gazeti la Mtanzania kesho  kutwa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE