February 17, 2017

MUFINDI WALIA NA KAMPUNI YA CHAI UNILIVER KUTUMIA NDEGE KUMWAGA MBOLEA , KUWA AJIRA KWAO ZINAZIDI KUPOTEA

 
Mkazi  wa  kijiji cha  kibao  wilaya ya Mufindi  mkoani  Iringa  akitazama ndege ndogo  ya kampuni ya chai ya  Uniliver ambayo ilikuwa  akimwaga  mbolea  katika  mashamba ya  chai jambo  ambalo limekwamisha ajira ya  wananchi  wa maeneo hao kutokana na utaratibu wa kampuni  hiyo  ambayo awali  ilikuwa ikiongoza kwa  kutoa ajira  ila  sasa  shughuli  nyingi  zinafanywa na mashine za kisasa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE