February 11, 2017

'MUBASHARA' SHULE YA SUN ACADEMI IRINGA YATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA NNE ,2016

Wanafunzi  wa  Sun  Academi  wakionyesha  michezo  mbali  mbali
PG" width="640" />
Wanafunzi  wa  Sun Academi  wakieleza  sifa ya  shule  hiyo

Mkuu  wa  shule ya  Sun Academi  Iringa  Bw  Wanguvu wa  tatu  kulia akiwa na  viongozi  mbali mbali  na  wageni  waalikwa waliofika katika hafla ya  kuwapongeza  wanafunzi wa darasa la tano  ambao  walifanya  vizuri  katika mtihani wa Taifa  wa  Darasa la nne  mwaka jana
Mwalimu  mkuu  wa  shule ya  Sun Academi akifanya  utambulisho
Baadhi ya  wanafunzi  wa  shule  hiyo 
Baadhi ya  wageni  na  walimu  wa shule  hiyo bora  mjini Iringa
Wazazi  wakiwa na  wanafunzi  katika  hafla   hiyo
Wanafunzi  wa darasa la tano  ambao  watapewa  zawadi  leo
mwanafunzi  Sophia  Nguvu  akitumbuiza  katika hafla  hiyo

Shule  ya  Sun Academ mwaka jana  mitihani ya darasa la  nne  ilishika nafasi ya nne  ila sasa  imepanda  hadi  kufikia nafasi ya  pili  kiwilaya .

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE