February 7, 2017

MSIMU WA POMBE YA ULANZI MKOANI IRINGA UMEFIKA

Mchuuzi wa  pombe  aina ya ulanzi akiwa amejaza  pombe   hiyo kwenye  bajaji  akipeleka mjini  Iringa kwa  ajili ya  biashara ikitokea  Tanangozi na Ifunda
Magari  na bajaji  zikiwa  zimebeba  pombe ya ulanzi
Askari  wa  usalama barabara  akikagua  gari  iliyobeba ulanzi
Kijana  akiwa amekaa juu ya madumu ya  pombe ya  ulanzi
Kwa  kawaida  miezi  hii hadi wa sita kila mwaka kwa  mkoa  wa Iringa ni msibu wa pombe ya Ulanzi na huwezi pita  Iringa  bila kupishana na magari  ama  Baiskeli  zilizobeba  ulanzi ,pombe  hii ndio  pombe ya  bei ya  chini  zaidi  huuzwa kati ya Tsh 100 hadi Tsh 20  pale  upatikanaji wake  unapokuwa mwingi  zaidi  ila  huuzwa  hadi Tsh 1000 kwa  lita pindi upatikanaji wake unapoadimika

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE