February 7, 2017

MBUNGE TUNDU LISU ANYIMWA DHAMANA KESHO KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Taarifa kwa
 Vyombo vya Habari

Tundu Lissu, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu (MB) baada ya mahojiano na Jeshi la Polisi amerejeshwa mahabusu hadi kesho ambapo anatarajiwa kufikishwa mahakamani.

Lissu ambaye hivi karibuni ametangaza nia ya kugombea kuwa RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA NCHINI (TLS) na kabla ya kukamatwa kwake alikuwa tayari ameshachukua na kujaza fomu ya kuwania nafasi hiyo, amebaki mahabusu kwa kile ambacho Jeshi la Polisi kupitia kwa ZCO Wambura, wamedai kuwa kuna mambo bado hawajakamilisha.

Makene

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE