February 13, 2017

MAPYA YA MAKONDA AWAMU HII YA 3 ANAYOITANGAZA HII LEO

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yupo kwenye midomo ya watu wengi baada ya sakata la dawa za kulevya kuchukua headlines na kutaja watu mbalimbali kwenye orodha hiyo.

Wiki iliyopita Paul Makonda alitaja watu 65 kwenye awamu yake ya pili na sasa yuko tayari kwa awamu ya tatu ambapo amethibitisha jioni ya JANA kwamba awamu hiyo ya 3 ni LEO February 13 2017 kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam.

Paul Makonda ameandika “Awamu ya tatu imekamilika naomba tukutane kesho katika ukumbi wa mwalimu nyerere kuanzia saa 4 asbh”

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE