February 12, 2017

MANJI ANAUMWA AKIMBIZWA HOSPITALI TOKA MAHABUSU

Habari ambao tumezipata zinadai kuwa mfanyabiashara Yusuph Manjialiyetuhumiwa kuhusika na dawa za kulevya na mkuu  wa Mkoa wa Dar esalaam Paul Makonda hali yake  si nzuri baada ya Leo kuchukuliwa na gari lawagonjwa toka mahsbusu jijini Dar kwenda Hospitali japo ametoka mahabusu hapo akiwa anatembea kuingia katika gari la wagonjwa.

Taarifa zaidi tutaendelea kuajuza

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE