February 13, 2017

MAJALIWA AKUTANA NA MAOFISA WA MAGEREZA


 JUA 1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiongoza  kikao  kati yake na  Maofisa wa Magereza kutoka makao Makuu ya Magereza , pamoja na Makamanda wa Magereza wa Mikoa  yote nchini, ofisini kwake  mjini Dodoma  Februari 13, 2017.
JUA
 Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa  akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Magereza,  Dr Juma Malewa baada ya kikao  chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma   Februari 13,2017.   Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani Meja Jenerali  Projest  Rwegasira.
JUA 4
  Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa  akisalimiana na Kamishina Mwandamizi  wa Magereza na Mkuu wa Magereza wa Mkoa wa Lindi, Tusikile Mwaisabira baada ya kikao  chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza  na  Maofisa Magereza wa Mikoa, kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma   Februari 13,2017. 
JUA 3
 Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa  Jeshi la Magereza Wanawake  baada ya kikao  chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma   Februari 13,2017.   Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya  Nchi, Mwigulu Nchemba. 
JUA 2
Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watalaamu na Wasimamizi wa Mkiradi ya Jeshi la Mgereza, baada ya kikao  chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza  na Wakuu wa Magereza wa Mikoa kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma   Februari 13,2017.    Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE