February 23, 2017

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA -MUBASHARA

Mstahiki  meya  wa  Manispaa ya  Iringa  Alex  Kimbe  akiingia  katika  ukumbi  wa mkutano kwa  ajili ya  kikao  cha  kawaida cha  baraza la madiwani  leo
Madiwani  wa Halmashauri ya  Manispaa ya  Iringa  wakiwa katika kikao hicho  kwa  kuanza na dua ya  kuiombea  Manispaaa wa kwanza  kushoto  mbunge wa  jimbo la  Iringa  mjini mchungaji Peter  Msigwa , mbunge wa  viti maalum mkoa wa  Iringa Suzana Mgonakulima na mbunge  Ritta Kabati ,kulia  ni  diwani  Frank  Nyalusi
Kikao  cha kamati ya  madiwani  Manispaa ya  Iringa
Baadhi  ya  wakuu wa idara  katika  Manispaa ya  Iringa
Mkurugenzi  wa Manispaa ya  Iringa  Dr Wiliam Mafwele  ambae ni katibu wa  kikao  hicho
Mdau  wa  maendeleo  kutoka  shirika  la usafi  wa Mazingira ya  Acra akitoa  taarifa  ya  mradi  huo

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE