February 16, 2017

KIJANA ASIYEKUBALI KULA CHAKULA BILA MBWA WAKE KULA

Kijana  Kevin Mwamoto  mkazi  wa  Iringa  akimpatia  chakula mbwa  wake
Kijana  huyo  Kevin kutokana na kumpenda  mbwa  wake  hulazimika  kuanza  kumlisha mbwa  chakula kabla ya  yeye  kula
Mbwa  huyo  chakula  cha  chini  hali  zaidi ya  kulishwa  kama binadamu  mtoto

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE