February 6, 2017

FUATILIA LIGI YA WANAWAKE HAPA KATI YA PANAMA GIRLS FC IRINGA NA MAJENGO QUEN YA SINGIDA 1-1" LIVE"

Mchezo wa ligi ya Taifa Tanzania bara kwa wanawake unaendelea katika uwanja wa samora Iringa kati ya timu ya wenyeji Panama Girls FC ya Iringa na Majengo Quen ya Singida hadi  sasa ni dakika ya 20 kipindi cha kwanza 1-1

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE