February 8, 2017

DC MVOMERO AMPA RUNGU MKURUGENZI KUWAWAJIBISHA WATENDAJI WAZEMBE


Mkurungenzi  wa  Halmashauri  ya  wilaya  ya Mvomero  Bw Florent  Kyombo  akizungumza katika  kikao  cha kamati ya ushauri  wilaya (DCC),katikati ni mkuu wa wilaya  ya Mvomero Muhame Utaly  na  kushoto ni mwenyekiti wa Halmashauri  hiyo Jonas Zelan (picha na Geralɗ Nkamia -Afisa habari wilaya ya Mvomero)

wajumbe  wa  kikao cha kamati ya ushauri  wilaya ya  Mvomwero  wakiwa katika kikao leoNa Geralɗ Nkamia -Afisa habari wilaya ya Mvomero

SERIKALI  wilayani  Mvomero mkoani Morogoro imemuagiza  mkurugenzi  mtendaji wa Halmashauri ya  Mvomero Florent Kyombo  kuwawajibisha  watendaji wazembe wasiotimiza  wajibu  wao  katika ukusanyaji  wa mapato


Mkuu  wa  wilaya ya Mvomero  Bw  Muhame Utaly  ameyasema hayo katika kikao cha kamati ya ushauri ya wilaya kilicho kaa hivi karibuni kwaajili ya kupitia bajeti ya halmashauri hiyo.

Mkuu huyo wa wilaya amesema ili kutekeleza miraɗi mɓalimɓali ya halmashauri iƙiwamo asilimia kumi ya vijana na wanawaƙe inahitajika nguvu kuɓwa ya kukusanya mapato kutoka kwa wananchi hivyo kuwataka watenɗaji kwakuwa wao nɗio waliojirani na wananchi kwenda kuifanƴa kazi hiyo kwa nguvu kuɓwa.

"leo tumepitisha bajeti lakini utekelezaji wa ɓajeti hii uko ƙwenu watendaji,nawagiza mwenɗe mkafanye kazi ,mkakusanye mapato ili tuweze kuteƙezeza miradi ƴa maenɗeleo na yeyote atakaye zemɓea mkuruge nzi muonɗoe mara moja ili apishe wengine wafanƴe kazi ƙwani ƴeƴe hatufai nɗani ƴa wilaya hii"alisema

Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo ,florent kƴomɓo amesema  hatamvumilia mtenɗaji ƴeƴote ambaye atakwenɗa kinyume na mpango mkakati wa ukusanyaji mapato ndani ya halmashauri hiƴo.

"mkuu  wa wilaya katika kuteƙeleza ɓajeti hii mimi ƙama mkurugenzi nimejiɗhatiti vya kutosa usiku na mchana katika kusimamia hili,nimeshanunua mashine za kisasa kariɓu kila kijiji ili kirahisisha ukusanyaji wa mapato ,na metenɗaji asiye wajiɓika nitamuajibisha mara moja "alisema kƴomɓo.

Mkurugenzi huyo amesema  ili ƙufaniƙinisha utekezaji wa bajeti hiyo tayari ofisi yake imeshatengeneza mpango mkakati wa kuhakikisha wadafutilia madeni yote sugu ambayo wilaya hiyo inadai ikiwamo kiwanda cha sukari mtiɓwa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE