February 21, 2017

DC KILOLO ASIA ABDALAH AIPIGA JEKI TIMU YA PANAMA GIRLS FC IRINGA

Mkuu wa  wilaya ya Kilolo Asia Abdalah (kulia) akikabidhi  fedha  za  kuisaidia timuya wanawake ya mpira wa miguu ya panama Grils FC inayokwenda  kushishirki  lingi kuu Tanzania bara hatuaya sita bora
Amini  tunamshukuru zaidi mkuu huyu  wa  wilaya kwa jitihada zake  yupo jirani na timu  zetu  anatekeleza ilani ya CCM kwa  vitendo

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE