November 11, 2016

RATIBA YA MAZISHI YA JOSEPH MUNGAI

Ratiba ya mazishi ya marehemu mpendwa wetu mh Joseph James Mungai kwa Mafinga mjini mkoani Iringa

Saa 9 Alasiri Leo Ijumaa 11/11/2016 mwili kuwasili nyumbani kwake Mafinga mjini

Mwili wake utapumzishwa kesho jumamosi Tarehe 12/11/2016 kwa taratibu za mazishi

Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani kwake kuanzia saa 6:30  - 7:00 mchana

Heshima za mwisho kuanzia kuanzia saa 7-8 mchana

Mazishi kuanzia saa 8 mchana ktk makaburi ya familia yaliyopo katikati ya mji wa Mafinga

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE