November 2, 2016

KWA USAFIRI WA RAHA SAFIRI NA BUNDA EXPRESS

Safiri  safari  ya raha  na  salama  na  Bunda  Express  Ltd  kwa  safari  za  Mwanza , Mtwara ,Bukoba  ,Musoma ,Mwanza  ,Dodoma ,Singida , Iringa  kila  siku  Piga  simu  0782 777780  Meneja mkuu au 0764 341814  Boking Office ,Email: bundaexpress09@hotmail.com  Box 208 Mwanza  Nauli zetu ni ndogo  zaidi
Bunda  Express Ltd  ni mabasi ya  kisasa  zaidi
Waweza  kuchaji  simu ukiwa  ndani ya Bunda Express Ltd  huna  sababu ya  kujutia mawasiliano kwa  kukosa chaji
Mawasiliano 


Mwanza -Mtwara Via Bukoba Mwanza  0767 47 0615,Bukoba- 0788 289389  Mtukula  0788687772

 MUSOMA -BUKOBA VIA MWANZA 
Musoma 0756 814140
Mwanza -0767 470615
Bukoba 0788 289389
Bunda -0767303974

Mwanza ,Karagwe Via Bukoba 

Mwanza -0767470615
Bukoba-
Karagwe- 0686 151930


Musoma-Dodoma Via Singida 
Musoma 0756814140
Singida-063336664
Dodoma-0756384386
Bunda-0767303974

Mwanza - Iringa Via Dodoma 

Mwanza -0767470615
Dodoma-0756384386
Iringa -0717706307/0752069593

KUMBUKA BUNDA EXPRESS LTD  TUNAFANYA  SAFARI  ZETU  KILA  SIKU HAKIKA NI RAHA NA  SALAMA  NDANI YA  BUNDA EXPRESS
 


2 comments:

DEO said...

Nashukuru sana Bunda Express kampuni kongwe ya usafirishaji hapa Tanzania,ila naomba mpate root rasmi ya Iringa Kahama. Hakuna basi za Kahama,week mbili zijazo natarajjia kusafiri kuelekea Kahama naamini nitasafiri na Bunda Express.deogratiusgrace@gmail.com.

hammysley said...

Tunawashukuru sana kwa kuendelea kusambaza huduma zenu maana tumechoka na huduma za isamilo na DM....hizi kampuni zinachelewa sana kuingia iringa.....bunda express imetukomboa sana na tunaomba aongeze huduma yake iwe imara zaidi.....bunda express mungu awabariki sana.....

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE