November 9, 2016

CLINTON AKUBALI KUSHINDWA AMPIGIA SIMU TRUMP KUMPONGEZA KWA USHINDI

Image result for Trump na  ClintonHillary Clinton aliyepata  kura   55,875,854 amempigia  simu  aliyekuwa  mpinzani  wake Donald Trump  aliyeshinda  kwa  kupata  kura 56,891,560  kumpongeza  kwa  ushindi  huo mkubwa  alioupata  hivyo kwa  mujibu wa matokeo hayo  Trump  tajiri  ndio Rais  mteule wa Taifa la Marekani

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE