October 28, 2016

SUN ACADEMY PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL IRINGA

Mlete mwanao Sun Academy  shule  bora   iliyopo  mjini  Iringa  ni  shule ya  kutwa na Bweni  kwa   anayehitaji  tuna usafiri  kwa  wanafunzi  shule  imesajiliwa  inapatikana  jirani na  Ofisi ya mkuu wa  wilaya ya  Iringa  fomu zinapatikana katika tovuti yetu www.sunps.ac.tz  ama  fika kwa Lutengano jirani na jengo la NSSF kwenye  jengo la Bakwata  Iringa
Usahili  na kurudisha  fomu utafanyika tarehe 19-24 /2016 na  usajili  utafanyika Tarehe 9-10 /2017  tunapokea  watoto  wanaohitaji kuanza chekechea hadi darasa la kwanza  pia kwa  wale  wanaohitaji  kuhamia  wanapokelewa isipo  kuwa  watoto wa darasa la nne na la saba  . wasiliana  nasi kwa  simu namba  0754 484321 au 0675 543366 ama 0759964 630

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE