October 1, 2016

NYUMBA YA MFANYABIASHARA EDWARD MATERU MJINI IRINGA YAUGUA MOTO

Wananchi mjini Iringa wakitazama moto ukiteketeza nyumba ya mfanyabiashara Edward Materu iliyopo kitaru namba 75 eneo La Makorongoni mjini Iringa chanzo cha moto bado kufahamika ila moto huo umeteketeza Mali zote zilizokuwa sebule ya familia ambazo thamani yake bado kufahamika kwa mujibu wa mashuhuda moto huo umeanza majira ya saa 8 mchana jitihada kubwa za zimamoto zimeepusha madhara zaidi

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE