October 19, 2016

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Uamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel amewaasa vijana kutumia elimu kujiletea maendeleo

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifungua kongamano la vijana kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam wakati wa wiki ya maadhimisho ya Umoja wa Mataifa unaofikisha miaka 71 tangu kuasisiwa kwake. Maadhimisho ya hayo yanaongozwa na kaulimbiu kwa upande wa Tanzania inayosema “Jukumu la Vijana wa Tanzania katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii”.
Mwakilishi wa Shirika Umoja wa Mataifa nchini linaloshughulikia Maendeleo (UNDP) Annamaria Kiaga akimkaribisha Mgeni Rasmi ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kufungua kongamano la vijana kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam akizungumza na waandishi wa habari,Dar es Salaam,
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa mfano kwa vijana kwa kutumia chupa ya maji kuonesha vijana wanavyopaswa kufikiri zaidi ili kujiletea maendeleo yao kiuchumi na kijamii wakati wa ufunguzi wa  kongamano la vijana kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la vijana kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel leo jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa  kongamano la vijana lililoandaliwa na Shirika Umoja wa Mataifa linalishughulikia Maendeleo (UNDP).
Mwanafunzi Matilda Mashauri kutoka shule ya sekondari ya Gerezani akimuuliza swali Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel juu ya kusimamia maadili ya Kitanzania na kuwaelimisha wazazi namna bora ya kusimamia malezi ya watoto wao leo jijini Dar es salaam  wakati wa kongamano la vijana kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam lililoandaliwa na Shirika Umoja wa Mataifa linalishughulikia Maendeleo (UNDP).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokea maoni ya vijana kutoka kwa mwanafunzi Matilda Mashauri kutoka shule ya sekondari ya Gerezani juu ya masuala mbalimbali waliyojadili kabla ya kuanza kwa kongamano la vijana kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam lililoandaliwa na Shirika Umoja wa Mataifa linalishughulikia Maendeleo (UNDP).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akichukua taarifa za mwananfunzi Matilda Mashauri kutoka shule ya sekondari ya Gerezani mara baada ya ufunguzi wa kongamano la vijana kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam lililoandaliwa na Shirika Umoja wa Mataifa linalishughulikia Maendeleo (UNDP).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokea maoni ya vijana kutoka kwa mwanafunzi Matilda Mashauri kutoka shule ya sekondari ya Gerezani juu ya masuala mbalimbali waliyojadili kabla ya kuanza kwa kongamano la vijana kutoka shule na vyuo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam lililoandaliwa na Shirika Umoja wa Mataifa linalishughulikia Maendeleo (UNDP).
(Picha na Eleuteri Mangi, MAELEZO)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE