October 24, 2016

JESHI LA POLISI KITETO LASAIDIA SHULE VIFAA VYA MICHEZO

 
Shule ya msingi Lalakir iliyopo kata ya Partimbo Wilayani Kiteto mkoani Manyara, imepatiwa vifaa vya michezo vya thamani ya zaidi ya Tsh laki nane
Mkuu wa polisi Kiteto Patrick Kimaro akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi Lalakir Kiteto..

Mbali na kutoa msaada wa vifaa vya michezo pia alitoa mfuko mmoja wa sukari na viungo kwaajili ya waalimu wanapokuwa shule wanywe chai..

Waalimu wa shule ya msingi Lalakir Wakikabidhiwa sukari ili wawe wanakunywa chai wanapokuwa shuleni.. Picha na  mwanganamatukio

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE