October 19, 2016

GAMBO AZUSHIWA KUVULIWA NAFASI YAKE MITANDAONI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam hivi karibuni (picha na Maktaba )

Kuna  taaarifa  zinaenezwa katika mitandao ya kijamii hasa  makundi ya  whatsap   kuhusu  kugenguliwa  nafasi yake  mkuu  wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo  taarifa  ambayo imekanushwa katika  mitandao  hii kupitia kurasa  ya  mkurugenzi  mkuu wa mawasiliano ya Rais Ikulu Gerson Msigwa ambae ametaka  taarifa  hizo  kupuuzwa .

 " Hii taarifa  imetengenezwa  na waharifu  ipuuzeni " ni  maneno  mafupi  yaliyoandikwa na Msigwa katika moja  ya kurasa  zake  kwenye  mitandao ya  kijamii.

 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE