October 6, 2016

DED UBUNGO AWATAKA WATUMISHI WA MANISPAA YA UBUNGO KUZINGATIA NIDHAMU NA UADILIFU KATIKA KAZI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo (Katikati) akisikiliza kwa makini maoni ya watumishi wa Manispaa hiyo wakati wa kikao cha pamoja na watumishi wa Manispaa hiyo

 Waratibu wa elimu wakisikiliza kwa makini maelekezo ya utendaji kazi kutoka kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo


Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi kayombo akisisitiza jambo wakati wa kikao cha pamoja na waratibu wa elimu Kata wakati wa kikao cha Kazi

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE