Matukio Daima

Tembelea kila siku kwa habari na matukio mbali mbali..

Matukio Daima

Kwa Habari za Kitaifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Kimataifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Uchumi na Biashara.

Matukio Daima

Kwa Habari za Michezo na Burudani.

September 30, 2014

SOSPETER MUHONGO ASAINI MKATABA WA MRADI WA KUUZIANA UMEME KATIA YA ZAMBIA, TANZANIA NA KENYA.

PROFESA 

Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano  wa Kumi wa kujadili mradi huo.

Azam yadhamini maonesho makubwa ya Keki Dar

Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, Marion Elias (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho makubwa ya keki yanayotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa Matangazo na Uhusiano wa Umma wa kampuni ya SSB, Mohammed Ramadhan wazamini wa maonesho hayo. Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, Marion Elias (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho makubwa ya keki yanayotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa Matangazo na Uhusiano wa Umma wa kampuni ya SSB, Mohammed Ramadhan wazamini wa maonesho hayo

WAKANDARASI UMEME WASIOWAJIBIKA KUNYANG’ANYWA TENDA

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (Meza Kuu-Katikati), akizungumza na wawakilishi wa Kampuni mbalimbali zinazohusika kusambaza umeme vijijini kutoka India, China na Sri Lanka zinazofanya kazi katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuhusu utekelezaji wa miradi husika.

GARI YA KUBEBEA WAGONJWA YAPATA AJALI MBAYA YA KUOGONGANA NA GARI NYINGINE NDOGO

 Polisi wa usalama barabarani akiliangalia kwa karibu moja ya gari lililoharibika vibaya katika ajali iliyotokea mchana huu katika eneo la Sadal njia ya Moshi - Arusha.

MKUTANO WA SIKU MBILI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI, UHAKIKA WA CHAKULA NA HAKI ZA ARDHI ULIOANDALIWA NA OXFAM PAMOJA NA FORUM CC WAANZA LEO

 Jenerali Ulimwenguambaye ndiye mwezeshaji  akiendelea kutoa Mwongozo katika mkutano wa siku mbili juu ya mabadiliko ya Tabianchi, uhakika wa Chakula na haki za Ardhi mkutano ulioandaliwa na Oxfam pamoja na Forum CC

Hong Kong bado hali tete


Raia wa Hong Kong wakivurumushiwa moshi
Makumi kwa mamia ya waandamanaji wa Hong Kong wanaendelea na maandamano yao kwa siku nyingine tena baada ya kudhoofisha maeneo muhimu ya jiji hilo wakati wa mchana. Waandamanaji hao sasa wanamtaka Mkuu wa utawala wa Hong Kong Leung Chun-Ying ajiuzulu..

Mahojiano na Dr Patrick Nhigula. Mgombea u-Rais wa DICOTA

Karibu katika mahojiano kati ya Mubelwa Bandio wa Kwanza Production na Dr Patrick Nhighula, mgombea wa nafasi ya uRais wa DICOTA 2014. Mbali na kuielezea DICOTA yenyewe, pia ameeleza nia yake kugombea nafasi hiyo Karibu umsikilize

26 WAITWA TAIFA STARS KUIVAA BENIN
Wachezaji 26 wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kwa ajili mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya Benin itakayochezwa Oktoba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

TASWIRA TOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Kapteni John Komba, Bungeni mjini Dodoma

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA, SAMWEL SITTA AHAMIA CHADEMA.

JAMBAZI ALIYEVUNJA DUKA NA KUIBA,AUAWA KWA KIPIGO CHA WANANCHI,POLISI WALIMSHTUKIA


Jambazi mmoja akiwa na bunduki na risasi 47 pamoja na sare za jeshi la wananchi ameuawa na wananchi weye hasira kali wakati akijaribu kukimbia baada ya kufanya tukio la kuvunja duka na kuiba shilingi laki 7 katika eneo la melela Mvomero mkoani Morogoro.

_UNAAMBIWA HILI NDIYO DARAJA REFU KULIKO MADARAJA YOTE YANAYOPITA JUU YA MAJI DUNIANIDaraja hilo linaunganisha jiji la Kobe liliko bara na Iwaya iliyoko katika kisiwa cha Awaji. Daraja hili linajulikana pia kama ‘Pearl Bridge’.

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUTUMIA REDIO JAMII KUELIMISHA UMMA.

DSC_0009
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiutambulisha ujumbe wa wageni kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini kwa Wenyeviti wa bodi na mameneja wa redio za jamii nchini waliohudhuria warsha ya siku tano ya kuwajengea uwezo katika kuboresha masoko kwenye vituo vyao iliyofadhiliwa na shirika la maendeleo la Sweden (SIDA) na kuratibiwa na UNESCO.
Na Mwandishi Wetu, Sengerema

MFUMO DUME NA MAWAZO MGANDO: KIKWAZO USHIRIKI WA MWANAMKE KATIKA UONGOZI

20140924_085545
Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio, Nuru Kalufya akisimamia usajili wa washiriki wa mafunzo ya Maadili, Jinsia na Kuandika Habari za Migogoro yaliyoanza katika kijiji cha Uvinza, wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma tarehe 24 Septemba hadi 01 Oktoba 2014.
Na Mwandishi wetu, Uvinza.

KINANA-BUMBULI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kata ya Mbuzii (hawapo pichani).Katibu Mkuu leo alianza ziara yake katika kata ya Mbuzii ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya chama sehemu ambayo inahistoria kwani ilitumika kwa kufanya mikutano ya harakati za kutafuta Uhuru na ni sehemu iliyojengwa ofisi ya kwanza ya Tanu wilaya ya Lushoto.

September 29, 2014

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA TECH KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu  wa  shule ya  sekondari ya  Ifunda  Tech  akizungumza na  wanafunzi hao  hivi karibuni

                                        Wanafunzi  wa  shule ya  sekondari ya  Ifunda  Tech
Uongozi wa shule ya sekondari ya Ifunda tech  wilaya  Iringa  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo  kufungwa kwa muda  usiojulikana kutokana na  wanafunzi  hao kufanya  vurugu kubwa  hivi karibuni .

Hatua ya uongozi wa shule hiyo kuwaita wanafunzi hao imekuja zikiwa ni zaidi ya siku 4 kupita toka shule hiyo kufungwa kufuatia vurugu kubwa shuleni hapo na  kusababisha  hasara  kubwa ya mali  za  shule  hiyo

Makamu mkuu wa shule hiyo  Ernest Sakafu ameyasema hayo Leo wakati akizungumza na mtandao wa matukio daima ofisini kwake .

Amewataja wanafunzi wanaotakuwa kufika shuleni hapo kuwa ni steven Nyiriri,petro Kalolo,Iddi shaban,John Zephania,Edwin Rwegoshora,Adinan mrisho mtiti ,Izengo Dotto,Gaspar Manyagi,shemson Amoni ,Halid Omari,said sambo ,paschal lusukanija ,Fred Kidava na Eliji Nguvila

Wengine ni Stambuli Daluweshi,Jackson Mlowe,Sidi Kayombo,Yusuph Makale , Joseph Antony ,Allan Laurent , Rose Kayombo,Enoce John ,Rashid Kandoro ,Abdul Zumo ,Petro Silwimba ,Joyce Nestory ,Michael Kimario na Athuman Ahamad

Alisema kuwa kwa sasa shule hiyo imefungwa kutokana na vurugu hizo hivyo shule hiyo itafunguliwa wakati wowote kuanzia sasa,

MJUMBE WA BUNGE LA KATIBA JOHN NDUMBARO ASIHI NAFASI ZA WABUNGE WALEMAVU ZIONGEZWE

Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Mkoa wa Iringa, John Ndumbaro (kushoto) ambaye ni Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK) katika picha ya maktaba yetu inayomuonesha alipokuwa akikabidhiwa Sh Milioni 6 kutoka kwa aliyekuwa Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Iringa, Nabwike Mwakajila baada ya kushinda droo ya promosheni ya Shiriki, Shinda, Jiwezeshe iliyoendeshwa mwaka 2010 na benki hiyo

September 28, 2014

PSPF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MKOANI MOROGORO KATIKA UWANJA WA JAMUHURI

Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri 

ZIARA YA KINANA JIMBO LA MLALO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Kwekangaga ikiwa siku ya pili ya ziara yake katika wilaya Lushoto ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya tawi la CCM.

TAMASHA LA UPENDO WA MAMA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 NOVEMBA 2014


SAM_0646Engineer Carlos Mkindi ambaye ni mkurugenzi wa mkundi production akiongea na vyombo vya habari kuhusiana na Tamasha kubwa la upendo kwa mama linalotarajiwa kufanyika jijini Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid tarehe 02-11-2014

TIMU YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAAGWA LEO KUELEKEA MOROGORO KATIKA MICHEZO YA SHIMIWI

 Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali Watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. D. Mndeme (kushoto) akizungumza na wanamichezo wa Ofisi yake wakati akiwaaga na kukabidhiwa vifaa vya michezo leo asubuhi kwa ajili ya kuelekea Mjini Morogoro kushiriki katika michuano ya Shimiwi iliyofunguliwa leo. Katikati ni Afisa Utawala wa TTCL Tanzania, Ulrick Swai (kulia) ni Katibu wa timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mandia.

MAHAMUDU MADENGE AIPIGA JEKI LIPULI FC, AWAPA JEZI, VIATU NA MIPIRA YA KISASA

MNEC Mahamudu Madenge akikabidhi jozi moja kati ya 20 za viatu vya mpita kwa Ramadhani Kudunda, kapteni wa timu ya Lipuli FC ya mjini Iringa inayoshiriki ligi daraja la kwanza

MWANAMKE APIGWA MAWE HADI KUFA Mwanamke mmoja ameuawa kwa kupigwa mawe nchini Somalia na kundi la wanamgambo wa Al Shabaab.

KINANA AKIWA LUSHOTO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahamn Kinana  na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwa pamoja wakiwapungia mkono mamia ya watu waliofurika kwenye uwanja wa mikutano wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola wilayani Lushoto.

KINANA AKISHONA


TIMU YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAAGWA LEO KUELEKEA MOROGORO KATIKA MICHEZO YA SHIMIWI

 Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali Watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. D. Mndeme (kushoto) akizungumza na wanamichezo wa Ofisi yake wakati akiwaaga na kukabidhiwa vifaa vya michezo leo asubuhi kwa ajili ya kuelekea Mjini Morogoro kushiriki katika michuano ya Shimiwi iliyofunguliwa leo. Katikati ni Afisa Utawala wa TTCL Tanzania, Ulrick Swai (kulia) ni Katibu wa timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mandia.

September 27, 2014

AFRICA : TOP 100 OF YOUNG ECONOMIC LEADERS- MO MAKES IT IN THE TOP 3

DSC_0316
Chief Executive Officer, MeTL Group, Hon. Mohammed Dewji.

Wanaharakati Ngazi ya Jamii Waikosoa Katiba Inayopendekezwa

Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto) Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto)

PRESIDENT KIKWETE VISITS CNN STUDIOS IN NEW YORK

President Jakaya Mrisho Kikwete chats with  Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited  CNN Studios at the  Time Warner Cente in New York.  
CNN is an American basic cable and satellite television channel that is owned by the Turner Broadcasting System division of Time Warner. 

KATIBU MKUU WA CCM ZIARANI LUSHOTO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wilaya ya Lushoto Ndugu Antepass Richard Mbughuni, Katibu Mkuu ameanza ziara wilaya ya Lushoto ambapo atashiriki shughuli za maendeleo pamoja na kufanya mikutano kuimarisha Chama Cha Mapinduzi .

NAPE: MAANDAMANO CHADEMA NI BIASHARA


  •   Adai huuzipeleka picha za vurugu nje ya nchi
  •   Adai Chadema wanafanya ili kukinusuru chama chao
  •   Awatuhumu kuwatoa kafara waandamanaji
  •   Asisitiza laaana ya damu za Watanzania hazitawaacha.

MBUNGE MGIMWA KUREJESHA POSHO ZA VIKAO VYA BUNGE KWA WAPIGA KURA WAKE KALENGA

Mbunge wa  jimbo la Kalenga  Godfrey Mgimwa akimkabidhi  zawadi  mwalimu wa  shule ya  sekondari  Kiwere  mwalimu Elika baada ya  kuwa  ni mmoja kati ya  walimu  bora  shuleni hapo 

PFP KUWATAJIRISHA WANANCHI WENYE KIPATO CHA CHINI WILAYA 6 NCHINI KUPITIA PROGRAMU YA PANDA MITI KIBIASHARA

Mkurugenzi  mtendaji wa PFP Dr Maria Tham akizungumza na  wanahabari ofisini kwake 

Nane kushiriki Adnan Kondo Cup


Na Mwandishi Wetu
TIMU nane za soka Kata ya Upanga Magharibi zinatarajia kuwania kombe la Adnan Kondo Cup, mashindano yanayotarajia kuanza Jumamosi ijayo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Muhimbili jijini Dar es Salaam.

September 26, 2014

SKYLIGHT BAND WAZIDI KUTIKISA JIJI LA DAR KWA BURUDANI NZITO

Skylight Band Divas Mary Lukos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba(katikati) Na Digna Mpera (Wa kwanza Kulia) wakitoa burudani ya nguvu Kwa Mashabiki Wao Ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa Iliyopita.Kila Ijumaa ya mwisho wa wiki Band Ya Skylight Wanapiga show Ndani ya Thai Village.Karibu Leo Upate burrudani ya nguvu yenye kukonga Roho yako na kutakuwa na Supriseeeeeee kibaoooo ndani ya Thai Village

SHUHUDA ALBINO ATAKA WAUAJI WANYONGWE HADHARANI

DSC_0519
Shuhuda aliyenusurika kwenye mauaji ya Albino ambaye amekatwa mikono yote miwili, Mariam Stanford akitoa ushuhuda wake na killio chake mbele ya meza na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi mmoja.
Na Mwandishi wetu

Breaking news msanii wema sepetu afariki dunia

. Msanii na miss Tanzania mstaafu Wema Aizak Sepetu amefariki dunia akiwa njiani akiwaishwa hospitali baada ya kuanguka akiwa ofisini kwake.  Msanii  huyu maarufu nchini inasemekana alipata mshtuko baada ya kusikia kuwa mpenzi wake alipata ajali mda mchache uliopita. Hayo ni baadhi ya matukio katika muvi mpya iliyotoka jana inayoitwa My Love. Ndani yupo Wema alicheza kama mke wa Hemed phd, tafadhali usikose nakala yako.

CRDB IRINGA KWA HILI LA KUKOSEKANA KWA MAEGESHO NI HATARI KWA FEDHA ZA WATEJA


Magari  yakiwa  yamejaa katika maegesho ya  benki ya CRDB Iringa na upande wa kushoto  kuna kibao kinachozuia kuegesha magari

MARUFUKU WAZAZI KALENGA KUWARUHUSU WATOTO WAO KWENDA MIJINI KUFANYA KAZI YA UYAYA - MBUNGE MGIMWA

Mzee maarufu wa kijiji cha KIponzelo jimbo la Kalenga Bw Abel Mgongolwa (kushoto) akimkabidhi mkuki mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa mara baada ya kuvishwa mavazi ya kichifu kama sehemu ya kutambua mchango wake katika maendeleo ya jimbo la Kalenga kwa muda mfupi aliopata kuwa mbunge wa jimbo hilo

Breaking news wanafunzi wafanya vurugu shule yafungwa Iringa

Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Ifunda tech wafanya vurugu kubwa shule yafungwa kwa muda usiofahamika

September 25, 2014

SERIKALI YAZINDUA KAMPENI YA UPIMAJI VVU KAZINI KATIKA MKOA WA NJOMBE UNAOONGOZA KITAIFA KWA MAAMBUKIZI HAYO

Katibu Mkuu Utumishi George Yambesi(kulia) akipewa ushauri nasaha kabla ya kupima VVU kwa hiari wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kuhamasisha Upimaji VVU Mahali pa Kazi uliofanyika mjini Njombe juzi

SERIKALI YAWATEMA WAANDISHI WALIOPIGWA,YASEMA HAKUNA MWANDISHI ALIYEPIGWA WOTE NI WANACHAMA WA CHADEMAHUKU wadau mbalimbali wa Habari wakiendelea kulaani vikali kitendo cha Jeshi la polisi kuwapiga wanahabari wakati wakiwa kazini katika tukio lilitokea Mwishoni mwa wiki iliyopita Makao makuu ya Jeshi la polisi nchini wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe akijisalimisha polisi,

ZIARA YA KINANA WILAYA YA KILINDI MKOANI TANGA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kwediboma wakati wa mapokezi .

UNESCO YAWAFUA WATENDAJI WA REDIO JAMII TANZANIA

DSC_0014
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiwakaribisha na kuwatambulisha wawezeshaji kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo katika masuala ya masoko na Tehama kwa mameneja na waandishi wa habari takribani 60 kutoka Redio jamii mbalimbali nchini, yanayoendelea kwenye kituo cha habari na mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza.
Na Mwandishi wetu, Sengerema

Maandamano ya amani ya Chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA YAHAMIA MWANZA

Na Charles Mseti, Mwanza
 
HATIMAYE maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),  yamehamia mkoani Mwanza ambapo leo chama hicho kitafanya maandamano katika wilaya zote.

SHIRIKA LA NDEGE LA FASTJET LAANZISHA SAFARI MPYA KATI YA DAR ES SALAAM TANZANIA NA ENTEBE , UGANDA

 Captain Sagar Chavda ambaye ndiye Muongozaji wa Ndege  Kutoka Dar es salaam kuelekea Entebe

Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa

Photo Credits: UN Photo/Ryan Brown
Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Kin Moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani. 
Hii ni hotuba yake, kwa hisani ya Umoja wa Mataifa 

FREDERICK MWAKALEBELA KUFIKISHWA MAHAKAMANI?

Frederick Mwakalebela
Na Jumanne Juma, Dar es Salaam

ALIYEKUWA KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela amefunguliwa kesi No OB/RB/16369/2014 katika kituo cha Polisi cha Oysterbay cha jijini Dar es Salaam.

MWANAMAMA AFARIKI BAADA YA KUTOLEWA MIMBA KATIKA ZAHANATI MOJA YA MJINI IRINGA

RPC wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi
MAMA mmoja (jina lake linahifadhiwa kwasasa) amefariki baada ya wahudumu wa zahanati moja ya mjini Iringa kujaribu kumtoa mimba bila mafanikio.

ACHINJA MKEWE WATOTO WAKISHUHUDIA

RPC wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari
POLISI mkoani Katavi wanamsaka mkazi wa kijiji cha Urwila wilayani Mlele, Mohamedi Katyukuru (49) kwa kumuua mkewe kwa kumchinja.

September 24, 2014

OPERATION ONDOA MSIGWA IMENOGA KATIKA JIMBO LA IRINGA

KATBU WA CCM MKOA WA IRINGA HASAN MTENGA NA MNEC MAHAMOUD  MADENGE WAKIWA KWENYE MKUTANO

Magazeti Leo Jumatano

1_cadfd.jpg