Matukio Daima

Tembelea kila siku kwa habari na matukio mbali mbali..

Matukio Daima

Kwa Habari za Kitaifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Kimataifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Uchumi na Biashara.

Matukio Daima

Kwa Habari za Michezo na Burudani.

July 31, 2014

BINGWA WA MASHINDANO YA SPANEST IRINGA KUTEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA

Jezi  zenye  jumbe  ya kupiga vita ujangili  zilizotolewa na Spanest leo 
Mratibu wa  Spanest   Godwel Ole  Meing'ataki akieleza  zawadi kwa  washindi  leo 
Kaimu mhifadhi wa Ruaha  Bw  Paaul Bangu kushoto akieleza jinsi  tembo  zinavyouwawa Hifadhi ya Ruaha  kulia ni mratibu wa Spanest  Godwel Ole  Meing'ataki
 Godwel Ole  Meing'ataki ambae ni mratibu wa Spanest  akifafanua  jambo  kulia kwake ni katibu wa chama cha soka  Iringa vijijini Juma Lalika 
 mkurugenzi mipango  na  miradi  ya maendeleo  TANAPA  Dr  Ezekiel Dembe aliyekuwa mgeni  rasmi  akifafanua  jambo 
Hizi ni jezi  kwa  timu 

COASTAL UNION U -20 YAIVIMBIA AFRICAN SPORTS LEO,ZATOKA SULUHU PACHAWACHEZAJI WA COASTAL UNION U-20 WAKIWA UWANJANI NA AFRICAN SPORTS


MAKAMU MWENYEKITI WA COASTAL UNION STEVEN MGUTO KULIA AKIWA NA MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI YA COASTAL UNION SALIMU AMIRI KUSHOTO

MAKAMU MWENYEKITI WA COASTAL UNION STEVEN MGUTO AKIWA NA MWAVULI AKIANGALIA MECHI YA COASTAL UNION U 20 NA AFRICAN SPORTS HUKU MVUA IKIENDELEA KUNYESHA KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI 

HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA

IMG-20140727-WA0011
Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani.

July 30, 2014

BREAKING NEWSssssss AJALI MBAYA YA BASI LA MORO BEST ENEO LA GAIRO YAUA ZAIDI YA 15 PAPO HAPO LEO

Miili ya  abiria  waliokuwa katika basi la moro Best
Wananchi  na baadhi ya  wasafiri  wakitazama  ajali mbaya ya   lori na basi la Moro Best leo 
basi la Moro Best  likiwa limeharibika vibaya  kufuatia ajali  mbaya  iliyotokea  eneo la Pandambili mapema  leo 
Lori la kampuni ya  Tanesco  likiwa  limejaza miili ya  watu  waliokufa katika ajali  hiyo  leo 

HUKU sherehe za sikukuu ya Idd -El Firt imeelekea ukingoni Taifa limepatwa na msiba mkubwa baada ya watu zaidi ya 17 waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Moro Best kupata ajali mbaya eneo la Pandambili katikati ya Dodoma na Morogoro .

 Akizungumza na mtandao huu wa matukio daima.co.tz kutoka eneo la tukio mmoja kati ya mashuhuda wa ajali hiyo Joseph Mtweve  alisema kuwa tukio limetokea eneo hilo la Pandambili wakati lori lililokuwa limebeba mabomba kutoka Morogoro kwenda Dodoma kujaribu kulipita gari jingine mbele eneo ambalo lina kona na hivyo kugongana na basi hilo uso kwa uso. 

 Alisema kuwa basi hilo lilikuwa likitokea Dodoma kuelekea mkoani Morogoro na kuwa katika ajali hiyo watu zaidi ya 12 walikufa papo hapo na wengine watano wanasadikika kufia njiani wakati wakikimbizwa Hospitali kwa matibabu zaidi.

Miongoni mwa  waliopoteza maisha katika ajali  hiyo inadaiwa pamoja na  dereva wa  basi hilo japo  jitihada za kupata  undani  wa  tukio  hilo  kupitia kwa  jeshi la polisi  zinaendelea kufanyika na mtandao huo

HOT NEWssssSHANGAZI WA MWANAHABARI ZUHURA WA GAZETI LA MAJIRA IRINGA ALIYEANGUKA CHOONI WAKATI WA SWALA YA IDD UWANJA WA SAMORA IRINGA AFARIKI


  Halida Ng'anguli akiwa ameanguka  nje ya  choo  katika  uwanja  wa Samora kabla ya  kufariki dunia (picha na  kikosi kazi cha matukiodaimaBlog)
kaimu sheikh wa  mkoa  wa  Iringa  Abubakar Chalamila
..................................................................................................................................................
WAKATI  waislamu   nchini  jana  wameungana na  waislamu  wenzao duniani kuswali  sala  ya Iddi mkoani  Iringa swali   hiyo  imemalizika  vibaya  kufuatia kifo  cha  muumini  mwenzao Halida Ng'anguli mkai  wa Mwangata  C ambae ni shangazi wa manahabari wa gazeti la majira  Iringa Zuhura  zuhkeri kufariki  dunia  baada ya masaa machache  toka aanguke chooni uwanja wa  Samora.

July 29, 2014

WAZIRI WA UCHUKUZI DK.HARRISON MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) KWA AJILI YA KUJIONEA SHUGHULI MBALIMBALI NA KUONGEA NA WAFANYAKAZI ULIOMBATANA NA UZINDUZI WA BODI


Waziri wa Uchukuzi  Dk. Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha wageni wakati alipofanya  ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Ofisi  ya Mamaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuongea na wanafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi  ya TCAA.Wapili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa bodi hiyo Mbwana Mbwana.Kulia ni makamu Mwenyekiti Weggoro Nyamajeje na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya TCAA ,Charles Chacha. Waziri Dk. Harrison Mwakyemba ndiyo wazili pee  aliyetembelea ofisi hizo tangua kuanzishwa.
Waziri wa Uchukuzi  Dk. Harrison Mwakyembe (kulia)akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Ndege wa Mamlaka Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Nuis Kasambala alivyokuwa akimuelezea na kumuonyesha jinsi wanavyofanya mitihani kwa wanafunzi wa ndege  wakati alipofanya  ziara ya kikazi  Makao Makuu ya Ofisi  ya Mamaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuongea na wanafanyakazi na kuzindua bodi ya Wakurugenzi  ya TCAA. Waliosimama nyuma ni Kamati ya bodi ya Mamlaka hiyo wakifuatilia kwa makini.   

COASTAL UNION KUKIPIGA NA AFRICAN SPORTS KESHO MKWAKWANI

TIMU ya Coastal Union ya Tanga "Wagosi wa Kaya" kesho inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki na African Sports “Wanakimanumanu”kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani itakayokuwa ya kusheherekea sikukuu ya iddi Pili.

Akizungumza leo Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga amesema maandalizi ya kuelekea  mchezo huo yamekamilika kwa asilimia kubwa na kinachosubiriwa na mechi hiyo itakayoanza saa kumi jioni kwenye uwanja huo.

MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA IDDI PILI MANYARA PARK


Bondia Peter Mbowe akioneshana umwamba wa kutunishiana misuli na Ibrahimu Tamba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao yutakaofanyika katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM siku ya Iddi pili 

RADIO COUNTRY FM NA WATUMA SALAM IRINGA WAWAKUMBUKA WAJONGWA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA LEO

Mwakilishi wa CFM Abbas Upete  akisoma  risala huku DJ Yeyo kulia  akirusha  hewani  Live
Watuma  salam mkoa  wa Iringa na  wafanyakazi wa Radio  Country Fm Iringa  wakielekea katika Hospitali ya  Rufaa ya  mkoa wa Iringa  kutoa msaada kwa  wagonjwa

MTENDAJI KATA YA MSHINDO AICHAFUA OFISI YA MKURUGENZI ADAIWA KUGEUZA OFISI YAKE MAHAKAMA YA RUFAA


                                                          Bw  Ayoub Mwenda
BAADHI ya  wanafamilia  wa  familia ya marehemu  Abdalah  Athuman Mwenda  wamepanga  kuandamana kwenda  ofisi ya  mkurugenzi  wa Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa Teresia Mahongo  kumlalamikia  afisa  mtendaji  wa kata ya Mshindo mjini  Iringa John Tweve  kwa hatua yake ya  kugeuza ofisi ya kata  kuwa mahakama ya  rufaa kwa  kesi  zinazoshindikana mahakama  za  mwanzo.

UGAIDI HAUNA UHUSIANO NA DINI ASEMA SHEIKH ATAKA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUKUTANA NA SERIKALI KUTAFUTA MFADHILI WA UGAIDI NCHINI

kaimu sheikh wa  mkoa  wa  Iringa  Abubakar Chalamila
Waumini  wa  dini ya kiislamu mjini  Iringa  wakiwa katika ibada ya idd uwanja wa Samora  leo
Ibada ya  idd ikiendelea katika uwanja wa Samora mjini Iringa  leo

July 28, 2014

MKUTANO WA MAJADILIANO KUHUSU UFADHILI WA MIRADI YA MAENDELEO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA JAPAN KWA MWAKA 2014/2015.

 Wajumbe wa mkutano uliohusisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara, Wakurugenzi na Wataalam wa Sekta mbalimbali wakifuatilia kwa makini majadiliano yaliyokua yakiendelea.

BREAKING NEWS MWEZI WAONEKANA IRINGA MAENEO YA MTWIVILA SEKONDARI

  Huu ni  mwezi  ambao umeonekana  usiku huu majira ya saa 1.usiku huu eneo la mlima ya mtwivila  sekondari  mjini Iringa  hivyo  hapa hakuna  ubishi  kuwa  kesho ni Idd El Fitr
Mtandao huu wa matukio daima  unapenda  sasa  kuwatakia  waislamu kote  Duniani  Idd njema

Obama kukutana leo viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika jijini Washington DC

 Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia  kwenye ukumbi wa mkutano ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani  atakapozungumza nao  jijini Washington DC.
i wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika (most promising young African leaders) . 

SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA YATIMUA WALIMU 'MAFATAKI'


Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwembetogwa, Kevin Mlengule
SHULE ya Sekondari ya Mwembetogwa ya Mjini Iringa imepongezwa na wadau wake baada ya hivikaribuni kuwafukuza kazi walimu wanne wa kiume waliobainika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao wa kike maarufu  kama mafataki

“Tunataka shule nyingine ziige mfano wa shule hii, tumefarijika kusikia imechukua uamuzi huo na kwa kufanya hivyo tunaamini shule hiyo itakuwa salama kwa watoto wetu wa kike,” alisema mmoja wa wazazi wenye watoto wanaosoma shuleni hapo, Joachim Mwaikambo.

FILIKUNJOMBE AWAKUNA WANA LUDEWA HIVI SASA BARABARA ZAFANYIWA MABORESHO MAKUBWA

Hali  ya  barabara  ya  Ludewa Manda  kwa  sasa baada ya kufanyiwa  uboreshaji  mkubwa

HIZI NI BODA BODA ZILIZOPO KITUO CHA POLISI IRINGA AMBAZO ZINAMAKOSA MBALI MBALI YAKIWEMO YA AJALI

RTO  FUNGO  akionyesha  boda  boda  zinazoshikiliwa kwa makosa mbali mbali kituo cha  polisi Iringa

SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

mmoja  kati ya  waumini  wa dini ya Kiislam waumini  wa madhehebu ya answaar Sunna iliyofanyika katika  uwanja  wa Mwembetogwa akitoka kuswali  leo

Rais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaamYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu  na viongozi wa vituo mbalimbali vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari  aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakimshukuru Mama Salma Kikwete kwa futari 
Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakipata picha ya pamoja na Mama Salma Kikwete baada ya  futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete

CHADEMA WAANZA KUCHAGUANA , ABUU CHANGAWA AWA MWENYEKITI KATA YA KWAKILOSA

KADA  wa Chama  cha  Demokrasia na maendeleo (Chadema) wilaya ya  Iringa  mjini  Abuu Changawa  Majeck (pichani) amechaguliwa  kuwa mwenyekiti  wa Chadema kata ya  Kwakilosa katika  uchaguzi  uliofanyika jana kama  sehemu ya  chama  hicho  kuanza  kujipanga  kwa  uchaguzi mkuu mwaka 2015  na  ule  wa  serikali za  mitaa .

WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA RUSHWA UCHAGUZI MKUU WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA RUSHWA UCHAGUZI MKUU

*Awaasa wananchi wasikubali kugeuzwa mtaji na wagombea


WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015.

July 27, 2014

Kuna tetesi kuwa gavana wa benki kuu na bodi yake kajiuzulu

Kuna habari zimevija kwenye kuwa Gavana wa Benki Kuu Ndugu Beno Ndullu pamoja na Bodi nzima ya BOT wamejiuzulu. Ndullu amepeleka barua rasmi kwa Rais Kikwete na copy kwa waziri Saada Mkuya.

Sababu aliyoelezea ni kuwa nafasi yake imekuwa untenable kufuatia skendo ya benki ya FBME ambayo kwa kiasi kikubwa ameshindwa kutoa maelezo ya kueleweka kiasi cha kuwa over rule baadhi ya board members wa BOT kuhusu jinsi gani alivyokuwa akiihandle tuhuma kuwa benki hii imekuwa kuwa ikitumiwa na mtandao wa MAFIOSO wa ITALIA (zaidi soma hapa)

MATOKEO YA UFUGAJI WA MIFUGO KARIBU NA MAENEO YA HIFADHI YA WANYAMA PORI RUAHA.
  Punda aliye nyofolewa minofu na fisi madoa

UFUGAJI ni kazi ambayo binadamu hutunza na kukuza mifugo kama chanzo cha mapato, chakula na viumbe vya kubebea mizigo na kazi nyingine. Mifugo ambayo inayotuzwa ni kama; ng’ombe, kondoo, punda kihongo na mbuzi. Ufugaji huu waweza ukawa wa mifugo michache au mingi, ufugaji wa kukaa mahali pamoja au kuhama hama. Lakini pia ufugaji unaweza ukawa wa aina moja ya wanyama au mchanganyiko mwandishi wetu Msafiri Mgumba wa matukiodaima.co.tz

Kuna makabila ambayo maisha yao yanategemea mifugo, mfano; wamasai, wamburu ambao wanajulikana kama “barbaig”, na wasukuma.

Kuna sababu nyingi zinazopelekea wafugaji kulisha mifugo yao karibu na hifadhi, mfano ongezeko la watu na kukua kwa mahitaji ya ardhi kwa ajili ya shughuli mbali mbali kumepelekea wafugaji kuhamia maeneo yenye malisho ya kutosheleza mahitaji ya mifugo yao.