Matukio Daima

Tembelea kila siku kwa habari na matukio mbali mbali..

Matukio Daima

Kwa Habari za Kitaifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Kimataifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Uchumi na Biashara.

Matukio Daima

Kwa Habari za Michezo na Burudani.

September 30, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI AKITOKEA MAREKANI NA CANADA

b2 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2013 wakitokea Marekani katika ziara ya kikazi. b3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda huku Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiangalia wakati alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2013 akitokea Marekani katika ziara ya kikazi.

b4Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa  Rombo Mhe Joseph Selasini wakati alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2013 akitokea Marekani katika ziara ya kikazi. Wanaofuatia ni Mbunge wa Nkenge Mhe. Asumpta Mshama na Mbunge wa Wawi Mhe Hamad Rashid Mohamed b5Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakilakiwa na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2013 wakitokea Marekani katika ziara ya kikazi.
b6Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa  Viti Maalumu Mhe Rita Mlaki alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2013 akitokea Marekani katika ziara ya kikazi. PICHA NA IKULU

  TANGAZO ! TANGAZO! SHAMBA HEKA 20 IRINGA LINAUZWA  TSH MILIONI 12

Shamba  hili heka 20  lililozungushiwa  miti ya  nguzo za  umeme na ndani ya  miaka miwili  unaweza  vuna mbao linauzwa  pia  shamba  hili linafaa kwa  kilimo cha mazao mbali mbali  kwani  lina  rutuba  ya kutosha iwapo ni mfugaji weweza litumia kwa ufugaji ama kujenga shule  ,kiwanda  n.k 
Shamba  hili  lipo eneo  la Ifunda Kibaoni  jirani na shule  ya sekondari  ya  la Lyandembela  kwa  mawasiliano tupigie simu 0754 026 299/0712 750 199 au 0789281030

AJALI NYINGINE TENA IRINGA NI YA BODA BODA ENEO HILO HILO LA MSHINDO


 Wanandoa  wakisaidiwa  baada ya  kuanguka na boda boda  eneo la mshindo huku chanzo  cha ajali  hiyo ni nguo aliyojitanda  mwanamke  na kuingia katika taili la nyuma kabla ya  kuanguka Nguo ikiwa imenasa katika taili la pikipiki hiyo na kusababisha ajali  mbaya
 Wasamaria  wema  wakisaidia  kutoa nguo aina ya  kikoi ambayo  ilisababisha ajali  nguo  hiyo alikuwa amejitanda mwanamke  huyo ambae  alikuwa abiria katika boda  boda  hiyo kabla ya  kumvuta dereva pembeni na kuanguka

Mke  wa mwendesha boda boda iliyopata ajali akiwa amejeruhiwa katika mguu  wake  baada ya ajali hiyo usiku  huu eneo la Mshindo 

 HOPE SERVICE STATION HAPA HUDUMA NI MASAA 24

 Wengi  hukimbilia  kununua mafuta hapa HOPE SERVICE STATION eneo la CRDB barabara ya Iringa -Dodoma katikati ya mji  wa Iringa  kituo  kinachouza mafuta masaa 24 ,wewe wasumbuka na nini  jiunge  na kituo  cha  wengi  sasa .

KITUO CHA MAFUTA CHA HOPE SERVIRCE NI MABINGWA  WA UUZAJI WA MAFUTA MKOANI  IRINGA

 KARIBU  UJAZE MAFUTA KWENYE GARI YAKO HAPA HOPE SERVICE STATION TUPO JIRANI NA BENKI YA CRDB MIYOMBONI BARABARA YA IRINGA DODOMA ,

YALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA "TUKO WANGAPI? TULIZANA" NA KUNOGESHWA NA WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

div class="separator" style="clear: both; text-align: center;">
Ras Aluta Christopher Warioba akiongea na waandishi wa habari kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
Ras Inocent akiongea neno kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA
Ras Ton akizungumza na vyombo vya habari wakati wa kongamano la Reggea lililofanyika leo  kwenye viwanja vya BASATA
 Ras Baraka akiwa kwenye stage akifanya maandalizi ya kuonesha burudani kwa wapenzi wa Reggea
Ras Inocent akitoa burudani kwenye kongamano  hilo
Hata wakina mama nao walikuwepo
Hapa ni kuruka wa burudani
Mama huyu alishindwa kuvumilia music wa Reggea akaanza kucheza kwenye mvua
 Dabo akitoa burudani wakati mvua inanyesha yaani mzuka kulikuwa hakuna kusitisha furaha kwa wapenzi wa Reggea wwaliokuwa kwenye tamasha ilo
Ni burudani tu hakuna kusubilia mvua ikatike
  Ras Ikabonnga Katondo akiwa na Ras Anord Kalikawe kwenye kongamano lililofanyika leo  kwenye viwanja vya BASATA

2013/9/8 Geofrey Adroph CODE
Wafanyakazi wa Tulizana wakiwaamasisha wananchi waliofika kwenye viwanja vya Leaders Clubs kupima Virus vya Ukimwi na pia kutoa elimu ya maambukizi ya Virus hivyo
Mmoja wa wafanyakazi akimweleza jambo kwa umakini kijana aliyekuja  kupima ili aweze kutoka kwenye mtandao wa ngono kwenye viwanja vya Leaders Club
Mmoja wa wananchi waliochangia damu kwenye tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" kwenye viwanja vya Leades Clubs jana mchana
Mfanyakazi wa Tulizana akitoa elimu kuhusu matumiza ya Kondom aina ya Dume  kwa vijana waliofika kwenye Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana"
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa wamepumzika baada ya kazi ngumu ya kuelimisha jamii juu ya kuachana na mtandao wa mapenzi  ambao unaweza kusababisha maambukizi ya vurus vya UKUMWI wakati wa Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club
Mfanyakazi wa Tulizana akitoa elimu kuhusu matumiza ya Kondom aina ya Salama  kwa vijana waliofika kwenye Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club
Upimaji wa Afya ukiendelea

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO ZIMA KWA KUBOFYA HAPA CHINI

AJALI MBAYA USIKU HUU IRINGA MTOTO WA MFANYABIASHARA ABRI ANUSURIKA KIFO

 Askari  polisi  Iringa  wakiolitazama  lori lililoacha njia na  kugonga  magari  mawili bri ambae  amenusurika  katika ajali  hiyo  iliyotokea  eneo la Mshindo  mjini Iringa  muda wa saa 2 usiku

 Hili  ndilo  lori  lililosababisha  ajali  chanzo kikiwa ni Breck kushindwa  kufanya kazi  vema

 Hili ndilo gari la Faraji Abri  ambalo  limegongwa  vibaya  ubavuni na  lori  hilo Lori lililosababisha ajali  baada ya  kugonga magari  mawili  kisha  kuparamia  ukuta  usiku  huu
 Kushoto ni magari  mawili  yaliyogongwa na lori  hilo eneo la Mshindo usiku  huu


 Hili  ndilo gari alimokuwemo Bw  Faraji Abri ambae amenusurika  katika ajali  hiyo iliyotokana na uzembe wa  dereva  wa lori lililokuwa  limebeba  tofari  kutoka  eneo la Samora  kuelekea katikati ya mji wa Iringa

 Umati  wa wananchi  wa mji  wa Iringa  wakishangaa ajali  hiyo

Hapa ndilo  lori  hilo lilipohama  njia na kuyagonga magari hayo mawili ambayo yalikuwa katika saiti yake

HOPE SERVICE STATION HAPA HUDUMA NI MASAA 24


 Wengi  hukimbilia  kununua mafuta hapa HOPE SERVICE STATION eneo la CRDB barabara ya Iringa -Dodoma katikati ya mji  wa Iringa  kituo  kinachouza mafuta masaa 24 ,wewe wasumbuka na nini  jiunge  na kituo  cha  wengi  sasa .

KITUO CHA MAFUTA CHA HOPE SERVIRCE NI MABINGWA  WA UUZAJI WA MAFUTA MKOANI  IRINGA

 KARIBU  UJAZE MAFUTA KWENYE GARI YAKO HAPA HOPE SERVICE STATION TUPO JIRANI NA BENKI YA CRDB MIYOMBONI BARABARA YA IRINGA DODOMA ,