Matukio Daima

Tembelea kila siku kwa habari na matukio mbali mbali..

Matukio Daima

Kwa Habari za Kitaifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Kimataifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Uchumi na Biashara.

Matukio Daima

Kwa Habari za Michezo na Burudani.

September 30, 2012

WADAU DADA ZETU KATIKA FACEBOOK WAMEANZA KUFUNGUKA KUHUSU MAVAZI YASIO NA HESHIMA

.

Kampeni ya mavazi katika mtandao  wa face book na www.francisgodwin.blogspot.com imeendelea  kuwafungua mabinti wengi ambao baadhi yao  walikuwa ktk ndoto ya kuja kuiga kuvaa vibaya na baadhi  yao wao  walikuwa  wakiona  sawa  kupiga picha za nusu uchi na  kuziweka ktk kurasa  zao za fb .

Kiukweli kwa  siku mbili hizi  kurasa za fb zimeanza  kuvutia kutazamwa na watoto na watu wenye heshima  zao baada ya akina dada wengi kufunguka na kuanza kutokelezea kwa mavazi ya heshima .

pichani ni dada Lily Lulandala ambae yeye ameamua hata kubadili picha yake ktk mwonekano wa ukurasa wake wa fb kutoka ile ya awali ambayo ipo hapo juu ya pili na kutokelezea vingine kwa kuweka picha hii hapa chini ya mwisho .

Mtandao  huu  unaungana na wadau wote  wasiopenda picha za nusu uchi iwe kwa akina  dada na akina kaka  kuwapongeza  waliofunguka na kuvaa kwa heshima  zaidi ombi kwa wadau  wote  waliopo ktk fb na blog kutozipa nafasi picha za nusu uchi ili wanaopenda kupiga picha hizo  waziweke ktk albam zao chumbani kwao

MAMA DIAMOND ANAUMWA SANA ,AKIMBIZWA HOSPITALI ,DIAMOND AANZA KULIA

Hapa mama akisubili huduma baada ya kufika Hopital.....


Hapa akipima uzito....Nikiwa na Dallas baada ya kufika Hopitalin....
Kiukweli nilishindwa kujizuia kulia,kutokana na hali ya mama jinsi ilivyokuwa.
Hata Dallas alipojaribu kunipa ushauri tufanye nini juu ya hali ya mama
sikuweza kumsikia.....


Nampenda sana Mama yangu na katika hali nisiyopenda kumuona nayo ni akiwa analia,
nami sikuwa na jinsi nilishindwa kujizuia...


Dallas akiwa na Mama katika hali ya huzuni....

Wakati mwingine tatizo linapokupata,Fikra na mawazo huwaza mbali sana.
Lakini hakuna jinsi yote ni mipango ya Mwenyezi Mungu namkabidhi yeye...
Licha ya kuwa tayari alikuwa ameshapata huduma na kuchomwa sindano,
lakini bado aliendelea kutapika....na hapa yupo na Uncle Salum aliyemsindikiza...


Akiwa hoi baada ya kumaliza kutapika....

Kiukweli mama alianza kulalamika kuumwa na alitumia dawa na baadae
alipata nafuu. Lakini leo hali ilijirudia tena,sikuwa nyumbani nilitoka katika mizunguko ya
kila siku ya kutafuta riziki ila niliporudi nyumbani nilimkuta hali yake sio nzuri.
Ikanibidi nichukue jukumu la kumpeleka Hospital ya MARIE STOPES kwaajiri ya matibabu.

Mtandao huu  wa www.francisgodwin.blogspot.com unaungana na mtandao  wa www.audifacejackson.blogspot.com katika  kumwombea afya  njema mamake Diamond ili apone na kuendelea na majukumu ya Taifa

SIMU NA CAMERA NI KWA PANGAMAWE SHOP MJINI NJOMBE PEKEE


Samsung Galaxy S

Camera za kila aina ndani ya duka la Pangamawe

Pia Sofa za aina mbali mbali zinapatikana katika duka la Pangamawe Njombe mjini

Bila kusahau vitanda vya kisasa na bora zaidi

Wengi hufika Pangamawe kupata simu za kisasa za kijanja zaidi
Usisumbuke kutafuta duka la simu ulinza Pangamawe Matelephone
Vifaa vya simu kama chaji za aina zote n.k


Kwa mawasiliano piga simu 0767502000 utahudumiwa popote ulipo

TANZANIA UNIQUE TOURS NI UHAKIKA KWA SAFARI ZA MAENEO YA VIVUTIO NCHINI


Magari ya kisasa yanayotumika kusafirisha watalii katika maeneo ya vivutio hapa nchini kutoka kampuni ya Tanzania Unique Tours
Hapa ni safari salama na Tanzania Unique Tours
Watalii wakiwa wamepanga foleni ofisi za Tanzania Unique Tours kwa ajili ya kukodi

ofisi zetu zipo nyumba ya jengo la Highlands Hall(Behind Highland Hall) jirani na posta ya mkoa wa Iringa ,Manispaa ya Iringa ,P.O.Box.384 Iringa Mob.+255 656 187139/0759248284
Tanzania Unique Tours
Service;
> Mountain Climbing /Trekking
>To Organize safari& Tours
> Hotels Accommodation .
CONTACT
Tell+225(0)02702425
Cell;07155961433
Email Info2@tanzaniauniquetours.com
website.www.tanzaniauniquetours.com
BOFYA HAPA KWA TAARIFA SASA KWA TAARIFA ZAIDI